ONYO LA MWISHO KWA DUNIA SEHEMU YA KWANZA

Mpango wa Ulimwengu Mpya Unakuja!

 . Viongozi wa Ulimwengu wanautaka
 . Unaungwa mkono na wengi
. Ulitabiriwa miaka 2000 iliyopita 
. Umekaribia sana .Utauteka Ulimwenguwote . Jinsi ya kuukwepa usiwe mhanga 
. Kuanguka kwake ghafula na kwa ukamilifu kulitabiriwa
. Umekuja kwa Wakati wake hasa
 . Mpango Mpya wa Kweli “Tupende  au  tusipende,  tuwe  tayari  au  tusiwe tayari,  sisi  sote  tunaingizwa  katika mashindano  kamili  ya  aina  tatu  ya  ulimwengu huu,  ambayo  hayana  kizuizi  cho  chote kilichowekwa.
Hata  hivyo,  wengi  sana miongoni  mwetu  si  washindani.   Sisi  ni mambo  tu  zilizopigiliwa  njiani.   Kwa  maana shindano  hilo  ni  juu  ya  nani  atakayeuanzisha mfumo  wa  kwanza  wa  serikali  ya  ulimwengu mzima  ambayo  haijapata  kuwako  kamwe katika  jamii  hii  ya  mataifa   …   Shindano  hilo ni  la  kufa  na  kupona  kwa  sababu,  kwa  vile sasa  limeanza,  basi,  hakuna  njia  yo  yote inayoweza  kuligeuza  au  kulisimamisha.” Malachi  Martin,  Mjesuti,  azijuaye  siri  za ndani zaVatikani,  Keys of This Blood, uk. 15.

Hilo  ni  wazo  kubwa:  yaani,  huo  Mpango  wa  Ulimwengu mpya,  ambao  mataifa  mbalimbali  yanavutwa  kuingia  pamoja ndani  yake  kwa  kusudi  lao  moja   …   ni  Marekani  peke  yake ambayo  inayo  mambo  yote  mawili,  yaani,  msimamo  wake kimaadili  na  uwezo  wake  wa  kuuunga  mkono.”   George  Bush, Hotuba  yake  ya  Muungano  wa  Taifa,  Los  Angeles  Times,  Feb. 18, 1991. “Chini  ya  uongozi  shupavu  wa  Papa  Yohane  Paulo  II, Serikali  ya  Vatikani  imetwaa  mahali  pake  halali  katika ulimwengu  huu  na  kuwa  sauti  ya  kimataifa.   Ni  haki  tu  kwamba nchi  hii  ionyeshe  heshima  yake  kwa  Vatikani  kwa  kuitambua kidiplomasia  kama  Serikali  ya  Ulimwengu.”   Dan  Quayle, Appeal to the U.S. Senate, Sept. 22, 1983. “(Yohane  Paulo  II)  anasisitiza  kwamba  wanadamu hawana  tumaini  lo  lote  la  kutegemewa  katika  kuunda  mfumo  wa kisiasa  wa  ulimwengu  mzima  ulio  na  uwezo  wa  kujitegemea, isipokuwa  kama  ni  kwa  kufuata  msingi  wa  Ukristo  wa Kikatoliki  wa  Roma.”   M.  Martin,  Keys  of  This  Blood,  ukurasa 492. “Umoja  wa  Mataifa   -   Viongozi  wa  mataifa  yale yanayounda  Baraza  la  Usalama  leo  hii  walikuwa  hapa  New York  kwa  mkutano  wao  wa  kwanza  wa  wakuu  wa  nchi,  wakiwa tayari  kuuweka  Umoja  wa  Mataifa  kuwa  sehemu  muhimu  sana ya  mpango  huu  wa  ulimwengu  mpya  na  kuunda  sera  ya  pamoja juu  ya  kuleta  amani  na  kudhibiti  silaha….   “Mkutano  huo  wa viongozi  wa  mataifa  hayo  15  yaliyomo  katika  Baraza  la Usalama  unaweka  kumbukumbu  kwa  mara  yake  ya  kwanza tangu  kuundwa  kwa  shirika  hilo  la  ulimwengu  mwaka  1945,
Oldest

4 comments

Click here for comments
Unknown
admin
5 June 2017 at 21:26 ×

Mbona habari haijakamilika

Reply
avatar
Unknown
admin
5 June 2017 at 21:28 ×

Mbona habari haijakamilika

Reply
avatar
Unknown
admin
6 June 2017 at 01:17 ×

Ujumbe bado tunaendelea rafiki

Reply
avatar