UKWELI WA WAKATI UJAO

 MAMBO YAJAYO KWA UWAZI

Kwa miaka michache iliyopita, dunia imenshuhudia tukio moja baada ya lingine. Ukame, mafuriko, vimbunga vya kuharibu, mitetemeko ya ardhi, yote yamefanyika yaki-fuatana kwa karibu sana.
 Maelfu walipoteza maisha yao katika ajali mbali kwenye nchi kavu, majini na hewani; ilhali wengine mamilioni wakifa njaa, mataifa mengi yamefilisika, wasiweze kulipa madeni yao. Vita, migomo, mpasuko wa idadi ya watu duniani, kuharibiwa kwa mazingira, yanamfanya mwanadamu kuutazama wakati ujao kwa uoga mno.

Mengi ya matukio haya yametabiriwa katika Biblia (Math. 24:4-31, Lk. 21:25-28, Ufunuo 6:12-17, 16, 17, 18). Kila wakati, Mungu ameionya dunia kuhusu hukumu ijao kwa sababu ya uasi wetu (Isaya 24:5-20, 46:9-10, Am. 3:7, Ufunuo 1:1).
FUNZO KUTOKA KWA WAZAMANI

Kwa mfano, Mungu alimuonya Nuhu kuhusu mafuriko, Abraham na Lutu kuhusu uharibifu wa Sodoma na Gomora na Musa kuhusu mapigo ya Misri.
Matukio haya yameandikwa kutuonya sisi ili tupate kue-lewa ya kwamba unabii wa Biblia umetimia au utatimia (1 Wakor. 10:6-12, 2 Petro 2:5-9, Waebrania 4:11).
Kwa hivyo, tunapata onyo la Mungu kwa kizazi cha mwisho jinsi unayowakilishwa katika miaka ya 331-168 kabla ya Yesu kuzaliwa. Alexander alipokufa, ufalme wake uligawanyika katika sehemu nne (Falme za Di-adoki) zinazowakilishwa na vichwa vinne. Sehemu hizi zilikuwa Macedonia, Thrace, Syria na Misri.MNYAMA WA NNE“Baadaye nikaona katika njozi ya usiku, na tazama, mnyama wa nne, mwenye kutisha, mwenye nguvu, mwenye uwezo mwingi, naye alikuwa na meno ya chuma, makubwa sana; alikula na kuvunja vipande vipande, na kuyakanyaga mabaki kwa miguu yake; na umbo lake lilikuwa mbali kabisa na wale wa kwanza, naye alikuwa na pembe kumi” Dan. 7:7. Mnyama huyu ni sawa na yule wa Dan. 2:33,40,41. Ufalme huu wa nne uliokuja baada wa ule wa waunani ni ufalme wa Rumi uliotawala kuanzia mwaka wa 168 kabla ya kuzaliwa Yesu, hadi 476 baada ya kuzaliwa. Mnyama huyu alikuwa tofauti sana na wale waliomtangulia hivi kwamba Danieli alishindwa kueleza mfano wake. Katika ufalme huo wataondoka “wafalme kumi” ni katika Dan. 7:24 inawakilisha “wafalme kumi watakaotokea katika ufalme huu”. Historia inaweka wazi kwamba ufalme wa Rumi uliangushwa mwaka  wa 476 baada ya kuzaliwa Yesu, na uligawanyika katika falme kumi ambazo ni mataifa kumi ya Uropa ya leo. Falme hizi kumi za Dan. 7:7 ni sawa na vidole kumi vya Dan. 2:42-44. Mataifa haya ni: (1) Ujerumani, (2) Ufaransa, (3) Uingereza, (4) Uswizi, (5) Uispania, (6) Ureno, (7) Utaliano; (8) Heruli, (9) Vandals, (10) Ostrogoths.PEMBE NDOGO“Nikaziangalia sana pembe zake, na tazama, pembe nyingine ikazuka kati yao, nayo ilikuwa ndogo, ambayo mbele yake pembe tatu katika zile za kwanza zikang’olewa kabisa; na tazama, katika pembe hiyo mlikuwa na macho kama ya mwanadamu, na kinywa kilichokuwa kikinena maneno makuu.” Dan. 7:8Alama tofauti za kutambua pembe ndogo: 1. Alizuka kati ya zile pembe (falme) kumi, na wakati alipoinuka kutawala, pembe tatu zilingolewa na aka-chukua nafasi yao.2. Katika Dan. 7:24  tunaambiwa  pembe ndogo inazuka baada ya zile kumi.Katika historia yote ni ufalme mmoja  tu unaotimiza masharti haya katika Rumi yenyewe mwaka wa 476 baada ya kuza-liwa Yesu, Upapa, serikali ilioongozwa na mtu mmoja chini ya kanisa katoliki; ulisimamishwa. Katika kuinuliwa kwake, falme tatu za Haruli, Vandals na Ostrogoths “ziliangushwa”. Kwa amri ya Justinian (Codex Justinianus), mfalme wa Rumi ya mashariki, katika mwaka wa 533 baada ya kuzaliwa kwake Yesu. Askofu wa Roma alifanywa kuwa kiongozi wa makanisa yote ya ukristo (Ostrogoths) ndiyo waliokuwa wapingamizi wa mwisho kung’olewa kabisa mwaka wa 538 na kufukuzwa kutoka Rumi na Jemerali Balisarius. Mwaka huo ndipo Rumi ya upapa ilidhibitishwa kuwa serikali kwa wakati uliotabiriwa (angalia maelezo baadaye).3. Katika Dan. 7:25 tunasoma “naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu”, maana yake ni mateso makubwa ya wakristo. Yeyote aliye na ufahamu katika historia, atafahamu ya kwamba maelezo haya yanaulenga Upapa. Mateso makali dhidi ya wakristo wakati wa zama za giza (Kuwahoji watu kuhusu imani yao, kuwa-choma wazushi, vita vya kidini) haya yote yanajulikana na yamo katika kurasa za historia.“Kama mimi niishivyo, asema Bwana Mungu, sikufu-rahii kufa kwake mtu muovu; aghairi mtu muovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?” Ez. 33:11 (Linganisha 2 Petro 3:10-11, Mal. 3:18, 4:1-2).Ni nini maana ya mnyama na alama yake?Kabla ya kumjadili mnyama, lazima tuelewe historia iliyomtangulia huyu mnyama. Pahali pazuri pa kuanzia ni katika kitabu cha Daniel, ambacho kinashughulikia unabii, kuanzia karne ya sita kabla hajazaliwa Yesu hadi wakati wa leo.Kutafsiri mfano katika Biblia hautegemei ujuzi wa mtu. Unabii ni historia iliyoandikwa kabla yake kutendeka. Biblia yenyewe inatupatia  mwelekeo na ufahamu (2 Pet. 1:20).Mnyama katika unabii anawakilisha mfalme au ufalme. Jambo hili ni dhahiri katika Dan. 7:17,23: “Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea du-niani... Huyo mnyama atakuwa wa nne juu ya dunia.” Katika Dan. 7:3 imeandikwa: “Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini...“ “Bahari” au “maji” huwakil-isha ,,jamaa na makutano na mataifa na lugha.” Ufunuo 17:15 (Isaya 8:7).Katika Dan. 7 nabii anaziona falme za dunia zikiwakilish-wa na “Wanyama”  Maelezo sawa na hayo tunayapata kati-ka Dan. 2:27-45 ambapo kila kiungo kinaeleza mwelekeo wa mwanadamu katika siku za usoni.SIMBA“Wa kwanza alikuwa kama simba...“ Dan. 7:4 (Dan. 2:37-38). Simba anawakilisha ufalme wa Babeli uliotawala dunia miaka ya 608-538 kabla Yesu kuzaliwa, utawala wa pekee siku za Danieli. Sanamu ya Simba mwenye mabawa imehifadhiwa katika jumba la hi-fadhi la Pergamon mjini Berlin, Ujerumani.DUBU“Na tazama, mnyama mwingine, kama dubu, naye aliinuli-wa upande mmoja, na mifupa mitatu ya mbavu ilikuwamo kinywani mwake katika meno yake;  wakamwambia mnyama huyu hivi; inuka ule nyama tele.” Dan. 7:5. Mnyama huyu ni sawa na maelezo ya mikono na kifua cha shaba cha Dan. 2:32,39. Mnyama huyu anawakilisha falme mbili za waamedi na waajemi waliotawala baada ya Babeli miaka ya 538-331 kabla ya kuzaliwa Yesu. Waa-medi ndio waliotangulia kutawala kisha badaaye Waajemi. Mikono miwili katika Dan. 2 na kuinuliwa upande mmoja katika Dan. 7, ni maelezo yanayotilia mkazo unabii huu. Upande mmoja ulikuwa na nguvu kuliko mwingine. Mbavu tatu zinawakilisha mataifa matatu ya Babeli, Lydia na Misri yaliyopigwa na Waamedi na Waajemi. CHUI“Kisha nikatazama, na kumbe! Mnyama mwingine, kama Chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vinne; akapewa mamlaka.” Dan. 7:6. Mnyama huyu ni sawa na yule wa Dan. 2:32,39. Ulikuwa ufalme wa Wayunani ukiongozwa na Alexander uliowaangusha Waajemi na kutawala MAMBO YAJAYO KWA UWAZIKwa miaka michache iliyopita, dunia imenshuhudia tukio moja baada ya lingine. Ukame, mafuriko, vimbunga vya kuharibu, mitetemeko ya ardhi, yote yamefanyika yaki-fuatana kwa karibu sana. Maelfu walipoteza maisha yao katika ajali mbali kwenye nchi kavu, majini na hewani; ilhali wengine mamilioni wakifa njaa, mataifa mengi yamefilisika, wasiweze kulipa madeni yao. Vita, migomo, mpasuko wa idadi ya watu duniani, kuharibiwa kwa mazingira, yanamfanya mwanadamu kuutazama wakati ujao kwa uoga mno.Mengi ya matukio haya yametabiriwa katika Biblia (Math. 24:4-31, Lk. 21:25-28, Ufunuo 6:12-17, 16, 17, 18). Kila wakati, Mungu ameionya dunia kuhusu hukumu ijao kwa sababu ya uasi wetu (Isaya 24:5-20, 46:9-10, Am. 3:7, Ufunuo 1:1).FUNZO KUTOKA MATUKIO YA ZAMANI Kwa mfano, Mungu alimuonya Nuhu kuhusu mafuriko, Abraham na Lutu kuhusu uharibifu wa Sodoma na Gomora na Musa kuhusu mapigo ya Misri.Matukio haya yameandikwa kutuonya sisi ili tupate kue-lewa ya kwamba unabii wa Biblia umetimia au utatimia (1 Wakor. 10:6-12, 2 Petro 2:5-9, Waebrania 4:11).Kwa hivyo, tunapata onyo la Mungu kwa kizazi cha mwisho jinsi unayowakilishwa katikaambao tunaupata katika Ufunuo 14 jinsi alivyoandika Yohana. Huu ni mwito wa mwisho kwa watu wote ambao unatolewa na Mungu kabla ya kurudi kwa Kristo kama Mfalme na Hakimu.Ujumbe huu unalo onyo la muhimu sana kuhusu hukumu katika Biblia:(1) “Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na chemchemi za maji.”(2) “Umeanguka, umeanguka Babeli, mji ule ulio mkub-wa, maana ndio uliowanywesha mataifa yote mvinyo wa ghadhabu ya uasherati wake.”(3) “Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo wa ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele za ma-laika watakatifu na mbele za Mwana-Kondoo. Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana na usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake” Ufunuo 14:6-11.Onyo hili ni la muhimu sana kwa kila mtu! Lakini tuta-epukaje kumsujudu mnyama na sanamu yake au kuipokea chapa yake ikiwa hatujui ni nini maana ya mnyama na sanamu yake? Kukosa ufahamu katika jambo hili kuna matokeo ya kifo. ,,Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa” Hos. 4:5 (Isaya 29:13-14).Hata hivyo, Mungu ameahidi hekima kwa wenye haki  (Meth. 2:1-7, Dan. 12:4,10, Math. 7:7-8)“Kama mimi niishivyo, asema Bwana Mungu, sikufu-rahii kufa kwake mtu muovu; aghairi mtu muovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?” Ez. 33:11 (Linganisha 2 Petro 3:10-11, Mal. 3:18, 4:1-2).Ni nini maana ya mnyama na alama yake?Kabla ya kumjadili mnyama, lazima tuelewe historia iliyomtangulia huyu mnyama. Pahali pazuri pa kuanzia ni katika kitabu cha Daniel, ambacho kinashughulikia unabii, kuanzia karne ya sita kabla hajazaliwa Yesu hadi wakati wa leo.Kutafsiri mfano katika Biblia hautegemei ujuzi wa mtu. Unabii ni historia iliyoandikwa kabla yake kutendeka. Biblia yenyewe inatupatia  mwelekeo na ufahamu (2 Pet. 1:20).Mnyama katika unabii anawakilisha mfalme au ufalme. Jambo hili ni dhahiri katika Dan. 7:17,23: “Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea du-niani... Huyo mnyama atakuwa wa nne juu ya dunia.” Katika Dan. 7:3 imeandikwa: “Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini...“ “Bahari” au “maji” huwakil-isha ,,jamaa na makutano na mataifa na lugha.” Ufunuo 17:15 (Isaya 8:7).Katika Dan. 7 nabii anaziona falme za dunia zikiwakilish-wa na “Wanyama”  Maelezo sawa na hayo tunayapata kati-ka Dan. 2:27-45 ambapo kila kiungo kinaeleza mwelekeo wa mwanadamu katika siku za usoni.SIMBA“Wa kwanza alikuwa kama simba...“ Dan. 7:4 (Dan. 2:37-38). Simba anawakilisha ufalme wa Babeli uliotawala dunia miaka ya 608-538 kabla Yesu kuzaliwa, utawala wa pekee siku za Danieli. Sanamu ya Simba mwenye mabawa imehifadhiwa katika jumba la hi-fadhi la Pergamon mjini Berlin, Ujerumani.DUBU“Na tazama, mnyama mwingine, kama dubu, naye aliinuli-wa upande mmoja, na mifupa mitatu ya mbavu ilikuwamo kinywani mwake katika meno yake;  wakamwambia mnyama huyu hivi; inuka ule nyama tele.” Dan. 7:5. Mnyama huyu ni sawa na maelezo ya mikono na kifua cha shaba cha Dan. 2:32,39. Mnyama huyu anawakilisha falme mbili za waamedi na waajemi waliotawala baada ya Babeli miaka ya 538-331 kabla ya kuzaliwa Yesu. Waa-medi ndio waliotangulia kutawala kisha badaaye Waajemi. Mikono miwili katika Dan. 2 na kuinuliwa upande mmoja katika Dan. 7, ni maelezo yanayotilia mkazo unabii huu. Upande mmoja ulikuwa na nguvu kuliko mwingine. Mbavu tatu zinawakilisha mataifa matatu ya Babeli, Lydia na Misri yaliyopigwa na Waamedi na Waajemi. CHUI“Kisha nikatazama, na kumbe! Mnyama mwingine, kama Chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vinne; akapewa mamlaka.” Dan. 7:6. Mnyama huyu ni sawa na yule wa Dan. 2:32,39. Ulikuwa ufalme wa Wayunani ukiongozwa na Alexander uliowaangusha Waajemi na miaka ya 331-168 kabla ya Yesu kuzaliwa. Alexander alipokufa, ufalme wake uligawanyika katika sehemu nne (Falme za Di-adoki) zinazowakilishwa na vichwa vinne. Sehemu hizi zilikuwa Macedonia, Thrace, Syria na Misri.MNYAMA WA NNE“Baadaye nikaona katika njozi ya usiku, na tazama, mnyama wa nne, mwenye kutisha, mwenye nguvu, mwenye uwezo mwingi, naye alikuwa na meno ya chuma, makubwa sana; alikula na kuvunja vipande vipande, na kuyakanyaga mabaki kwa miguu yake; na umbo lake lilikuwa mbali kabisa na wale wa kwanza, naye alikuwa na pembe kumi” Dan. 7:7. Mnyama huyu ni sawa na yule wa Dan. 2:33,40,41. Ufalme huu wa nne uliokuja baada wa ule wa waunani ni ufalme wa Rumi uliotawala kuanzia mwaka wa 168 kabla ya kuzaliwa Yesu, hadi 476 baada ya kuzaliwa. Mnyama huyu alikuwa tofauti sana na wale waliomtangulia hivi kwamba Danieli alishindwa kueleza mfano wake. Katika ufalme huo wataondoka “wafalme kumi” ni katika Dan. 7:24 inawakilisha “wafalme kumi watakaotokea katika ufalme huu”. Historia inaweka wazi kwamba ufalme wa Rumi uliangushwa mwaka  wa 476 baada ya kuzaliwa Yesu, na uligawanyika katika falme kumi ambazo ni mataifa kumi ya Uropa ya leo. Falme hizi kumi za Dan. 7:7 ni sawa na vidole kumi vya Dan. 2:42-44. Mataifa haya ni: (1) Ujerumani, (2) Ufaransa, (3) Uingereza, (4) Uswizi, (5) Uispania, (6) Ureno, (7) Utaliano; (8) Heruli, (9) Vandals, (10) Ostrogoths.PEMBE NDOGO“Nikaziangalia sana pembe zake, na tazama, pembe nyingine ikazuka kati yao, nayo ilikuwa ndogo, ambayo mbele yake pembe tatu katika zile za kwanza zikang’olewa kabisa; na tazama, katika pembe hiyo mlikuwa na macho kama ya mwanadamu, na kinywa kilichokuwa kikinena maneno makuu.” Dan. 7:8Alama tofauti za kutambua pembe ndogo: 1. Alizuka kati ya zile pembe (falme) kumi, na wakati alipoinuka kutawala, pembe tatu zilingolewa na aka-chukua nafasi yao.2. Katika Dan. 7:24  tunaambiwa  pembe ndogo inazuka baada ya zile kumi.Katika historia yote ni ufalme mmoja  tu unaotimiza masharti haya katika Rumi yenyewe mwaka wa 476 baada ya kuza-liwa Yesu, Upapa, serikali ilioongozwa na mtu mmoja chini ya kanisa katoliki; ulisimamishwa. Katika kuinuliwa kwake, falme tatu za Haruli, Vandals na Ostrogoths “ziliangushwa”. Kwa amri ya Justinian (Codex Justinianus), mfalme wa Rumi ya mashariki, katika mwaka wa 533 baada ya kuzaliwa kwake Yesu. Askofu wa Roma alifanywa kuwa kiongozi wa makanisa yote ya ukristo (Ostrogoths) ndiyo waliokuwa wapingamizi wa mwisho kung’olewa kabisa mwaka wa 538 na kufukuzwa kutoka Rumi na Jemerali Balisarius. Mwaka huo ndipo Rumi ya upapa ilidhibitishwa kuwa serikali kwa wakati uliotabiriwa (angalia maelezo baadaye).3. Katika Dan. 7:25 tunasoma “naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu”, maana yake ni mateso makubwa ya wakristo. Yeyote aliye na ufahamu katika historia, atafahamu ya kwamba maelezo haya yanaulenga Upapa. Mateso makali dhidi ya wakristo wakati wa zama za giza (Kuwahoji watu kuhusu imani yao, kuwa-choma wazushi, vita vya kidini) haya yote yanajulikana na yamo katika kurasa za historia.
Previous
Next Post »